A P e F

Africa Pension Fund (APeF) inakuletea wewe mwekezaji mfuko wa uwekezaji wa pamoja ulioambatanishwa na faida ya bima ya maisha na ulemavu wa kudumu unaowekeza kwenye masoko ya fedha na dhamana. Mfuko huu umeundwa kuwapa wawekezaji fursa ya kukuza mitaji yao huku wakipata ulinzi wa bima ya maisha. Mfuko huu unakupa ulinzi wa mtaji, faida shindani, upatikanaji wa fedha kwa urahisi (ukwasi) pamoja na ulinzi wa bima ya maisha.

Mfuko huu unawekeza kwenye hatifungani za serikali za mda mrefu na mfupi, hatifungani za makampuni binafsi pamoja na amana za muda mfupi na za kudumu (call account & fixed deposits)..

Kigezo: Hatifungani za serikali za miaka miwili

Malengo yetu

  • Kukuza nidhamu ya kuweka akiba na ukuaji wa mtaji wa muda mrefu.
  • Kutoa ulinzi wa bima dhidi ya kifo, ulemavu wa kudumu na jumla, pamoja na faida za mazishi.
  • Kuongeza ujumuishi wa kifedha kupitia fursa za uwekezaji zinazopatikana kwa urahisi.

Nani anaweza kuwekeza?

Watu binafsi, pamoja na taasisi, kampuni, vyama na makundi yanayotaka kuweka mtaji wao kwa muda mfupi, huku wakilinda mtaji mkuu, kuhakikisha usalama, na kupata faida bora zaidi

Age Requirements

At least 18 years. Minors under 18 can invest through a parent or guardian.

ID & Documents

Valid ID: NIDA, Passport, Driver's License or Voters ID.

Deposit

Minimum deposit of TZS 50,000 for account opening.

Residency

Tanzanian or SADC resident.




Kwanini Mfuko wa Ziada

Ziada Fund inatoa mbadala wa kisasa kwa amana za benki kwa wawekezaji wa muda mfupi na mrefu. Lengo lake ni kutoa faida shindani na thabiti na kutoa kipaumbele kwenye ulinzi wa mtaji kupitia uwekezaji uliogawanywa katika soko la fedha na dhamana za muda mfupi.

Mfuko huu una ukwasi wa hali ya juu, ukiruhusu kutoa sehemu ya mtaji ama mtaji wote, huku maombi ya kutoa fedha yakichakatwa ndani ya siku tatu za kazi. Hakuna ada za kuingia au kutoka, hivyo kuhakikisha upatikanaji wa mtaji bila gharama.

Vipande vya mfuko wa Ziada vinaweza kukubaliwa na taasisi za kifedha kama dhamana ya kupata mikopo, kulingana na tathmini ya mkopo ya mkopeshaji na masharti husika.

Wawekezaji pia wana fursa ya kuongeza uwekezaji wakati wowote, uchapishaji wa kila siku wa Thamani Halisi ya kipande (NAV), pamoja na mfumo kamili inayosimamiwa chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA).

Faida za bima ya Maisha (Kupitia Alliance Life Assurance):

  • Huduma inajumuisha Malipo ya bima ikiwa mwekezaji amefariki au kapata ulemavu wa kudumu pamoja na msaada wa mazishi kwa watoto hadi wanne.
  • Kiwango cha malipo ya bima: 0.25% ya thamani halisi ya kipande kwa mwaka, hulipwa kila mwaka.
  • Kipindi cha kusubiri cha miezi sita kwa visababishi visivyo vya ajali.
  • Msaada wa mazishi (kwa watoto hadi wanne) kuanzia Sh. 250,000 hadi Sh. 1,000,000 kulingana na thamani halisi ya kipande.

Best Market Returns

Earn competitive interest rates through a diversified money market portfolio.

Life Insurance Cover

Protection for investors with over TZS 250,000 NAV balance through Alliance Life.

Mobile Wallet Invest

Invest instantly via USSD *150*74# or the APeF mobile app — right where your money is.

24/7 Online Access

Access your funds anytime, anywhere via our mobile app and web portal.




Ratiba Ya Toleo

Mauzo ya awali 26 Januari 2026
Kufunga Mauzo ya Awali 13 Machi 2026
Bei ya kipande TZS 100
Kiwango cha chini ya uwekezaji TZS 50,000
Uwekezaji wa unaofuata/baadae TZS 10,000
Kiwango cha chini cha uwekezaji ili kunufaika na Bima TZS 250,000
Tarehe ya Kuanza kwa Hati ya Bima 26 Januari 2026

Jinsi ya Kufanya Uwekezaji

  1. Pakua programu tumizi ya APeFAPeF App kutoka Google Play Store/Apple Store.
  2. Tembelea apef.apef.co.tz kufanya usajili na uwekezaji.
  3. Piga *150*74# kupitia simu ya mkononi.
  4. Tembelea matawi ya benki zifuatazo:
    • EXIM Bank
    • Azania Bank
    • Mwanga Hakika Bank
    • CRDB Bank
    • NMB Bank
    • NBC
    • COOP Bank



Thamani Halisi ya Kipande - Kila Siku

Kikokotoo

Usimamizi wa kifedha kwa ajili yako

Pata Msaada
(Piga Bure) 0800 11 1234
2:30 asubuhi to 11:00 jioni
TZS 50,000
TZS 10,000
Miaka
Miezi
Miezi 24

Muhtasari

Jumla ya Uwekezaji TZS 0
Jumla ya Faida TZS 0
Salio la Jumla TZS 0
TZS 500,000
Miaka
Miezi
Miezi 36

Muhtasari

Jumla ya Uwekezaji TZS 0
Jumla ya Faida TZS 0
Jumla ya Salio TZS 0
Jumla ya Salio
Uwekezaji
Faida ya Uwekezaji



Maswali ya mara kwa mara

Washirika Wetu